Mashabiki wa Yamoto Band
CEO wa Dear Rukia Media mwenye fulana ya njano akifuatiwa na Chidi Mpiga kinanda wa Jahazi Modern Taarab na Meneja wa Yamoto Band Chambuso
Aslay Isihaka maarufu kwa jina la ‘Dogo Aslay’ akiimbisha mashabiki waliojitokeza
Yamoto band wakiwa kazini
Enock Deogratius ‘Enock Bella’ akionyesha ufundi wa kucheza
Enock Deogratius ‘Enock Bella’
Umati uliojitokeza kushuhudia Yamoto Band
Mbwana Yusuph Kilungi ‘Maromboso’ akipagawisha mashabiki
Mchekeshaji maarufu nchini Tanzania anayejulikana kwa jina la Stan bakora akibadilishana mawazo na mwimbaji wa Yamoto Band Enock Deogratius ‘Enock Bella’
No comments:
Post a Comment